Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Jelzkibet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jina: Kibet Charles Kirui

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa nne Chuo kikuu cha kenyatta idhara ya bioteknologia (Bsc. biotechnology) Nilizaliwa wilaya ya Sotik taarafa ya Ndanai ulioko mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya mwaka wa 1984. Niko na uwezo wa kusoma, kuandika na kuelewa lugha ya kiswahili kiingereza na kalenjin. Napenda kusoma na kuandika hadithi, kutembea na kushiriki riadha. Ningependa sana kushiriki katika shindano hili kwani ninaamini kuwa itanipa fursa kuonyesha umairi na mapenzi yangu ya kiswahili.