Mtumiaji:Isack rpm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

MWENZEGULE ni jina La mwisho linalotumiwa na watu wa kabila la wahehe kutoka Kijiji Cha Ng'ang'ange wilaya ya kilolo mkoa wa Iringa Tanzania. Neno Mwenzegule maana yake ni wahunzi wawindaji wasiokula panya,hawali panya kwasababu panya aliwahi kumng'ata Babu yao mpaka kupoteza maisha. Katika historia Mwenzegule ni watu waliokuwa na akili kubwa katika kuendesha viwanda vyakienyeji vya kuyeyusha vyuma na kuunda siraha mbalimbali za uwindaji, zana za kilimo na siraha za ulinzi na usalama .

Mfano: Isack Mwenzegule Remijo, Mwenzegule, Paul Mwenzegule.Mpaka Sasa kuna watu 653 wanaotumia ubini huu. Na wengi wao wanatokea mkoa wa Iringa ambako jina hili lilizaliwa Miaka mingi iliyopita.