Mtumiaji:Invioleta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

'invioleta mwakiwone' kitaaluma ni mhasibu alipata shahada ya kwanza kutoka chuo kikuu cha dar es salaam na amewahi kujitolea katika tasisi mbalimbali ikiwemo Tai tanzania na Soma book cafe pia anajishughulisha na ujasiriamali mdogomdogo na kushiriki katika maonyesho ya biashara kama jukwaa la wanawake dar es salaam. [[category:wafanyabiashara wadogo tz]]