Mtumiaji:Innonib

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


Salamu watumiaji!

Naitwa Innocent Charles, nasoma chuo kikuu cha Dar es Salaam. Nimejiunga na mtandao huu wa wikipedia baada ya kuona tangazo la shindano la kuandika wavuti ya wikipedia.

Kweli ni furaha kubwa sana kwangu kujiunga na mtandao huu. Natumaini nitapata ushirikiano mkubwa toka kwa watumiaji wenzangu.