Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Immadamas/Mie Hamada

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
picha ya mie Hamada mwaka 2017

Mie Hamada ni kocha wa timu ya taifa ya Japan na mshindani wa zamani.Hamada alihitimu katika Chuo Kikuu cha Doshisha mwaka 1983. Kwa sasa anafundisha katika Klabu ya Skating ya Chuo Kikuu cha Kansai huko Takatsuki, Osaka na Yamato Tamura.