Mtumiaji:Honesty Amin Mmbaga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

alizaliwa mwaka 199 mkoani morogoro hospitali ya mkoa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wa 5 wa mzee amini mmbaga alisoma shule ya msingi Mazimbu A mkoani morogoro ambapo alimaliza mwaka 2008. Alichelewa kuanza darasa la kwanza kutokana na falsasa za baba yake alipomaliza elimu hyo ya msingi alifanikiwa kujiunga na masomo ya sekondari katika shule ya sekondari kihonda