Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Hitila bugehu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

MADEBE MWANAJINASA MWANAJINASA MWANAJINASA

Madebe Ginasa alizaliwa mwaka 1976, katka wilaya ya nzega mkoani tabora,

Historia yake ni malenga,manju pia ni msanii wa nyimbo za kisukuma alianza usanii akiwa na miaka sita  mwaka 1980s.Anajulikanaaa pia kwa majina kama musa, mwananhale, mwananhandi, na mengine mengi 

Alianza usanii katika miaka ya 1970s[masimulizi ya kisukuma 1] alipata kuishi wilaya kahama na sasa anaishi nhele kata ya mwasala katika wilaya ya nzega , alianzia katika ngoma za jadi ziitwazo Beni , aliwika zaidi miaka ya 1990-2005 , Yeye ni mgaru kwa kisukumaa washindani wake wakubwa wagika na watinika ambao ni , inaga mlyambelele, lungwecha mwanituli, mhembo,na wengine wengi wa mlengo wa kulia yaani wagika.baadhi ya nyimbo zake ni , nundo ya bhahala, beni, kifo cha nyerere, kungongola ndeleya , na nyingine nyingi

1999,alialikwa kuwa mtumbuizaji mkuu mjini shinyanga ,kumulilia baba wa taifa badae madebe akabadili ngoma zake kwenda kwenye miziki ya kisukuma hapa ndipo amepata kuwa maarufu ndani na nje ya nchi kwani amepiga show takilbani kila mkoa hapa Tanzania . Amefanya kushiliki maigizo na vichekesho na wasanii wakubwa Tanzania mfano kingwendu, senga saida karori na makilikili, Atomy sifa wa Kenya na mengine wengi anavuma na vibao kama Kamili kama pori, magufuli, Amani ,IIange, kujimwahga, na zingne 2

[1]

marejeo


Hitilafu ya kutaja: <ref> tags exist for a group named "masimulizi ya kisukuma", but no corresponding <references group="masimulizi ya kisukuma"/> tag was found

  1. Millroth, Berta. Lyuba : traditional religion of the Sukuma. OCLC 1012299325.