Mtumiaji:Happymchiwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)

Mimi ni Mchiwa Rajabu miaka 21 mzaliwa wa Tanga.Mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dar es Salaam.Nazungumza kiswahili na kingereza. Nimependa sana mashindano haya yenye kukuza lugha yetu ya kiswahili,nimefurahia kushiriki.