Mtumiaji:Happy Sikalengo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Happy Msawika Sikalengo alizaliwa mnamo Januari 21 mwaka 1987 wilayani Mbozi na wazazi Raphael Msawika na Marietha Siyame akiwa mtoto wao wa pili. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Sambewe mkoani Mbeya kabla ya kujiunga na elimu ya sekondari katika shule ya sekondari Njombe iliyopo Njombe mwaka 2002-2005 na baadaye Njombe high school mwaka 2006-2008 katika mchepuo wa PGM.

Baada ya kuhitimu kidato cha sita aliweza kujiunga na mafunzo ya elimu ya kilimo katika chuo cha kilimo Uyole mkoani Mbeya mwaka 2008-2010.

Kazi

mshauri wa kilimo

mkulima

mzalishaji wa mbegu

mwalimu