Mtumiaji:Hajisaidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lugha
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.

Naitwa Haji Saidi nasoma Chuo cha usimamizi wa Fedha,(IFM) Mwaka wa pili kitivo cha teknolojia ya habari, namba yangu ya usajiri ni 25345. Napenda kujitokeza kwenye mashindano ya Wikipedia kwa kiswahili kwasababu nimepata taarifa na pia nimevtiwa sana na mashindano haya kwani nami nahitaji sana kuchangia pia kujifunza vitu

KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika IFM.
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)