Mtumiaji:Godanniel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mgallah ni jina la kikazi awapo hewani au kazini ila jina lake halisi ni Godfrey Mgallah McDanniel alizaliwa mnamo tarehe 02 januari 1990 huko mkoani Arusha,elimu yake ya shule ya msingi aliipata katika shule za msingi Kilakala na kumalizia shule ya msingi Mtumbatu huko Gairo.Godanniel ni mtoto wa kwanza na wamwisho kwa upande wa mama yake Suzana kisongela na ni mtoto wa tano kwa upande wa babayake mzee Danniel Mgallah ,elimu yake ya sekondari aliipata huko mkoani Songea kuanzia mwaka 2005-2008 na elimu yake ya advance ameipata mkoani Iringa katika shule ya JJ.MUNGAI Mafinga.kiufupi Godanniel ni muandishi wa habari na mtangazaji wa radio hiyo ni kazi ambayo aliipenda tangia akiwa mdogo kwani alisha wahi kusisikika akisema 'nilishawahi kugombeshwa na marehemu mama yangu kwa kosa la kurekodi tape casseti ya Yondo sister miaka ya nyuma na kurekodi sauti yangu na kutangaza mpira wa kombe la dunia 2002 huku nikimuiga EZEKIELI MALONGO'baada ya hapo mama yake mzazi ndipo akagundua kipaji cha mtoto wake na kuanza kumsapoti mapema ,mwanzoni mwa miaka ya 2012 baada ya kumaliza masomo yake ya advance alijiunga na chuo cha uandishi wa habari cha mkoani Morogoro MSJ Nna kuanza masomo yake ya STASHAHADA ya utangazaji mpaka 2014 lakini kwa kipindi hicho chote alipokuwa chuoni alikuwa tayari anasikika hewani kupita kipindi cha matukio cha radio 5 na MEGAMIX ya kituo cha radio ABOOD Fm.Tangia hapo ndipo umaarufu wake ukaanza kukua kutokana na sauti yake yenye mamlaka awapo studio.Na hiyo ndiyo historia yake fupi lakini mpaka sasa Godanniel hajaoa na hana mama kwani mama yake alifariki mwaka 2013 na kiufupi tangia azaliwe ameishi na mama yake tu kwa mrefu takribani miaka 19 bila kumjua baba yake na baba yake hajamsaidia chochote katika maisha yake hiyo ndiyo historia fupi ya kijana Godanniel kijana ambae namtazama kwa jicho la tatu katika tasnia hii ya habari.unaweza kuwasiliana nae kwa kupitia mitandao ya kijamii www.facebook.com/godanniel , www.twitter.com/godanniel au kwenye www.instagram/godannieltz kama utahitaji kupiga nae stori ni kijana mchangamfu kwa watu wa rika zote.Hiyo ndiyo historia fupi ya maisha ya Mtangazaji GODFREY DANNIEL MGALLAH A.K.A GODANNIEL Jina lenye muunganiko wa majina yake matatu.