Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:ErvanElman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
   
      TAHADHARI!
   
Akaunti hii ni akaunti ya ziada bandia ya NyinaWaJambo.

» Uendeshaji wa akaunti za ziada bandia ni matumizi ya akaunti nyingi za Wikipedia na mtu mmoja kwa lengo la kupotosha wengine. Hali hii huweza kujumuisha kujifanya kuwa watumiaji tofauti ili kuathiri majadiliano au kura. Tabia hii inakiuka sera za Wikipedia na inaweza kusababisha adhabu au vikwazo kwa mhusika.