Mtumiaji:Eric kalunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki (ind.) katika Shindano la WP ya Kiswahili la 2009. (Submissions)

Mimi naitwa Eric Kalunga na natokea jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Hivi sasa nasomea stashahada ya pili Durham University, UK.

Ninazungumza Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.

Napenda kusoma na kuandika hadithi na makala za Kiswahili na Kiingereza.

Nitafurahi kuchangia kufanya Kiswahili kiwafikie wengi zaidi.