Mtumiaji:Emmanueltz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Emmanuel Haule alizaliwa mnamo tarehe 6/6/1996 katika hospitali ya peramiho iliyo mkoa wa Ruvuma.Amesoma shule ya msingi Ramadhani ipatikanayo mkoani Njombe toka darasa la awali mpaka darasa la upili. Baada ya hapo alihama na kwenda kujiunga na shule ya msingi Mavurunza ipatikanayo Jijini Dar es salaam