Mtumiaji:Emanuel Boa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wikipedia:Babel
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
 Mimi Dr.Emanuel Boa ni mshiriki katika google health speaks.Nimejiunga na huu mradi kwa lengo la kutafsiri maneno ya afya kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine ili kila mtu apate mambo yahusuyo afya kwa lugha anayoielewa na hii itasaidia sana kuboresha afya zetu.

.