Mtumiaji:Dr Mambosasa Asante/1

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mhoja Mambosasa alizaliwa 04 Disemba mwaka 1963 katika kijiji cha Kabita Kata ya Kabita,Tarafa ya NASA wilaya ya Magu Mwanza Tanzania ,Na kufariki Tarehe 1 octoba 2019,Kwa ajali ya Gari, Mambosasa ametumikia Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwa muda wa Miaka Zaidi ya 30 kama Mhandisi wa manispaa na mbunifu wa majengo na kazi zingine alizopangiwa kufanya. Mhandisi Mambosasa atakumbukwa kwa mchango wake katika manispaa ya shinyanga kama mbunifu wa majengo yote na kupanga mji wa manispaa.