Mtumiaji:DorothyGuantai

  Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
  lugha
  sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
  KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi.
  KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)
  Jina langu ni Dorothy Guantai. Ninaishi Kileleshwa katika jiji la Nairobi nchini Kenya. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi na ninasomea sayansi ya biolojia. Niliingia katika changamoto hili ili kuimarisha uwezo wangu wa kuandika na pia kuongea kiswahili na pia, Mungu akijalia, kushinda mojawapo ya tuzo yaliyoandaliwa.