Mtumiaji:Daniel Mkani Chenchery
Daniel mkani chenchery,alizaliwa huko Serengeti-Tanzania[1] mnamo feb 14/1995 [2] Ni kiongozi wa dini katika kanisa la Mennonite Tanzania[3] Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba kwa Baba yake Mkani Chenchery,na mama yake Bhoke Mkani.
Mwaka 2014 alijiunga katika mafunzo maalumu ya kimishionari,ambapo alizuru baadhi ya nchi za kiafrika hasa Kenya na somalia ambapo alikaa kwa muda mrefu.
Daniel anatumika kama mmishionari na mkurugenzi Wa mahusiano katika mission na miradi kadha Wa kadha ndani ya kanisa la Mennonite Tanzania.
Daniel ni mmishionari Wa kwanza Wa kanisa la Mennonite, kuzuru na Kuishi katika jamii za wahadzabe, wanao patikana kaskazini mwa Tanzania. Hata hivyo amewavutia wengi hasa kwa upekee wake Wa Kuishi katika kabila hilo la msituni kwa kipindi kirefu.
Jina | Daniel Mkani Chenchery |
---|---|
Mahari Alipo zaliwa | Mennonite Hospital (NDDH) Serengeti-Tanzania |
Tarehe ya kuzaliwa | 14/02/1995 |
Wazazi | Mkani Chenchery (BABA) Bhoke Mkani (MAMA) |
Mwenzi | Angelina Daniel |
Watoto | Bhoke Daniel |
Elimu | -Shule ya Msingi Burunga
-Shule ya sekondari Serengeti -Chuo cha Komputa Mwanza -Chuo cha Umishionari Nairobi (EMM) |
Dada | Kisawa Mkani |
Ndugu | -Chenchery Mkani
-Nyarykoba Mkani -Joseph Mkani -Yohana Mkani -Mussa Mkani |
- ↑ Tanzania National Parks. (1972). Serengeti National Park : a guide. Tanzania National Parks. OCLC 18444562.
- ↑ Sofyan, Muhammad (2015-02-18). Valentin day. OCLC 1132712758.
- ↑ Mennonite Church. Conference (1900 : Vineland, Ont.) (1900?]). Conference resolutions passed at the annual conference of the Mennonite Church of Ontario District, held in the Moyer Meeting House, Vineland, Ontario, May 17th and 18th, 1900. s.n. ISBN 0-665-15490-9. OCLC 1111831884.
{{cite book}}
: Check date values in:|date=
(help)CS1 maint: numeric names: authors list (link)