Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Clophas Flavian Idd

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Clophas Flavian Idd alizaliwa tarehe 10/10/1990 katika Kijiji cha Ngulu, Kata ya Kwakoa, Tarafa ya Jipe Ndea, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania.

Wasifu wa Clophas Flavian Idd kwenye elimu.

.Mwaka 1998-2004 Alisoma shule ya

Msingi Ngulu.

Mwaka 2005 Alisoma Nyerere Secondary School iliyopo Lembeni Mwanga Kilimanjaro.

.Mwaka 2006-2008 Alisoma Kifaru

Sekondari iliyopo Wilaya ya Mwanga mkoani 
Kilimanjaro.

.Mwaka 2008 Alisoma Chuo Cha

Kompyuta Dar es Salaam tawi la 
Dodoma (UCC).

Mwaka 2009 Alisoma Minja Technical High School ambayo ipo Kifula Ugweno Kilimanjaro.

Mwaka 2010 Alisoma Jamhuri High School iliyopo Jijini Dodoma.

.Mwaka 2011-2012 Alisoma Chuo Cha

Uandishi wa Habari Morogoro 
(MSJ)ngazi ya Cheti(Astashahada).

.Mwaka 2012-2014 Alisoma Chuo cha

Uandishi wa Habari Morogoro (MSJ) 
(Shahada).
  • Sehemu za Kazi alizofanya

.Clophas Flavian Idd ni Mwandishi

wa Habari nchini Tanzania na 
ameshawahi kufanya Kazi katika 
sehemu zifuatazo....

.Mwaka 2013-2015 alikuwa Mhariri.

na Msimamizi wa vipindi katika 
kituo cha Radio Okoa Fm kilichopo 
mkoani Morogoro nchini Tanzania.

Mwaka 2014 alisoma The Institute of Business and Management (IBM) Morogoro.

Mwaka 2014 alianya Mafunzo (Field) TBC Kanda ya Kusini.

Mwaka 2014-2015 alisoma Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT) (Shahada ya Mawasiliano Kwa Umma) (Postponed). (Rais wa Chuo Tawi la Morogoro).

Mwaka 2016- Alisoma Certificate ya Digital Opportunity Trus(dot) katika chuo Cha Victory Training Center. (Economic Empowerment Program)

Mwaka 2016 Mkufunzi (Lectural) chuo Cha Morogoro International College.

Mwaka 2017-2018 Alifanya kazi kazi katika kituo Cha Radio Ukweli Fm Morogoro nchini Tanzania, Kama Mhariri wa habari, na Masimamizi wa vipindi. Kituo hiki kinamilikiwa na Jimbo katoliki Morogoro, pia Mjumbe wa kamati ya kuhamasisha Kusaida watu wenye ualbino mkoa wa Morogoro kuchangiwa mahitaji yao mbalimbali.

.Mwaka 2019-2023 Alifanya kazi Kama

Mwakilishi (reporter) kutoka 
mkoani Morogoro wa Kituo Cha East Africa Television na East Africa Radio cha Dar es Salaam.


.Mwaka 2023---- Anafanya kazi katika

Shirika la Utangazaji la Zanzibar (ZBC) mwakilishi mkoa wa Morogoro.