Mtumiaji:Clement barthazary komba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Clement barthazary komba alizaliwa songea mjini katika hospital ya mkoa wa ruvuma mwaka 1995/02/16

Mwaka 2016 akajiunga na darasa la kwanza na kumaliza mwaka 2012 na akajiunga elimu ya secondary apo mjini songea shule ya bombambli secondary na akamaliza mwaka 2016 pia mwaka 2017 akajiunga na shule ya wavulana ndanda boys na kumaliza mwaka 2019 baadae akajiunga chuo Cha walimu mpwapwa teachers college

Saizi ni mwanachuo katika chuo kikuu Cha sayansi mbeya pia ni kijana mwenye ndoto kubwa sana Kwa kujiusisha na mambo ya elimu