Mtumiaji:Cathbert nkongoki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francisca Oboh-Ikuenobe (Alizaliwa Agosti 1962) ni mwanajiolojia kutoka Ubiaja, Jimbo la Edo nchini Nigeria. Francisca ni Profesa wa Jiolojia katika Idara ya Sayansi ya Jiolojia na Uhandisi wa Kijivu na Mafuta. Francisca ni naibu wa masuala ya kompyuta katika Chuo cha Uhandisi na Kompyuta, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Missouri.[1]

Elimu[hariri | hariri chanzo]

Oboh-Ikuenobe alisoma Shule ya sekondari ya Wasichana St. Maria Goretti huko Benin-city, Nigeria. Alipata shahada ya kwanza ya jiolojia mwaka 1983. [2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Maafisa wa Chama cha Stratigrafia ya Palinolojia cha Amerika". Chama cha Stratigrafia ya Palinolojia cha Amerika. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2014.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  2. "Oboh-Ikuenobe, Francisca". Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Missouri. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2014. 
  3. "LEG 159—SCIENTIFIC RESULTS Côte D'Ivoire-Ghana Transform Margin Sites 959–962". Programu ya Kuchimba Bahari. Iliwekwa mnamo 29 Mei 2014. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumiaji:Cathbert nkongoki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Makala Namba 02[hariri | hariri chanzo]

Eucharia Oluchi Nwaichi ( Alizaliwa 1956 ) ni Mwanakemia wa mazingira, mwanasayansi wa udongo, na mtaalamu wa sumu kutoka Nchini Nigeria.

Maslahi yake ya utafiti yanazingatia usimamizi wa matibabu ya matatizo ya mazingira.[1]

Elimu na Kazi[hariri | hariri chanzo]

Ana shahada ya kwanza (B.Sc.), shahada ya uzamili (M.Sc.), na shahada ya uzamivu (Ph.D.) katika Biochemistry kutoka Chuo Kikuu cha Port Harcourt ambapo baadaye alikuwa mhadhiri mkuu. Kabla ya kujiunga na Masomo katika Chuo Kikuu cha Port Harcourt, alifanya kazi katika Kampuni ya Mafuta kwa mwaka mmoja (2009 - 2010).[2] [3] Yeye ni mwanachama wa mashirika kadhaa ya kitaaluma.[4] Mwaka 2022 alipewa Tuzo ya John Maddox.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Eucharia Oluchi Nwaichi Port harcourt studies how to remove arsenic and copper from polluted soil". Star Africa. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  2. "Two Nigerian Scientists bag UNESCO LOreal 2013 award". Vanguard News. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2015. 
  3. "Nigerian Shines UNESCO Science Laureate wins-$100,000-NAN". Sahara Reporters. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2015. 
  4. "Dr. Eucharia Oluchi Nwaichi - Idara ya Biochemistry". Uniport.edu.ng. Iliwekwa mnamo 13 Novemba 2015. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumiaji:Cathbert nkongoki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.