Mtumiaji:Oscar Kikoyo
Dkt. Oscar Ishengoma Kikoyo
[hariri | hariri chanzo]Oscar Ishengoma Kikoyo (alizaliwa Tarehe 22 Februari, 1970) , ni mtaalamu wa sheria na mdau wa elimu, pia mwanasiasa wa Tanzania katika chama cha CCM na sasa ni Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini tangu mwaka 2020.[1]
Familia
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa Rwantege Muleba, Tanzania katika familia ya Baba Protazi Bin'Omutonzi Kikoyo na mama Katarena Kikoyo
Tarehe 17/2/2001 akafunga ndoa na Levina Apolinary Kikoyo (kwa sasa ni _ Mkurugenzi wa Nchi || Pact Tanzania),na kujaliwa nae watoto wanne; Cuthbert Mugishagwe Kikoyo (2002), Carlin Ruhangisa Kikoyo (2003), Cassian Mwombeki Kikoyo (2005) na Carson Bin'Omutonzi Kikoyo (2011).
Masomo
[hariri | hariri chanzo]2004 - 2006 | Masters Degree | The Indian Institute of Foreign Trade | Masters in International Business |
1998 - 2001 | Bachelor Degree | University of Dar es Salaam | Bachelor of Laws |
1993 - 1996 | Diploma | Kahangala Major Seminary | Diploma in Philosophy |
1990 - 1992 | Secondary School | Rubya Junior Seminary | ACSEE |
1979 - 1984 | Primary School | Rwantege Primary School | - |
1986 - 1989 | Secondary School | Rubya Junior Seminary | CSEE |
1984 - 1985 | Primary School | Rutabo Preparatory Seminary | CPEE |
2008 - 2014 | PhD | The Open University of Tanzania | Doctor of Philosophy |
TRAINING
1992 - 1993 National Service - JKT Certificate
1995 - 1996 Red Cross Certificate
Work Experience
[hariri | hariri chanzo]Year | Position | Organization |
---|---|---|
2003 - To date | State Attorney | Ilala Municipal Council |
2018 - 2020 | Part time Lecturer | Dar es Salaam Institute of Maritime |
2015 - 2020 | Part time Lecturer | University of Dar es Salaam |
2010 - 2020 | Part time Lecturer | National Institute of Transport |
2006 - 2020 | Executive Secretary | SUMATRA |
2003 - To date | Advocate | The High Court of Tanzania |
2002 - 2003 | Resident Magistrate | Judiciary |
2001 - 2002 | Legal Officer | Mkoba & Co. Advocates |
Mwanasiasa wa Tanzania
[hariri | hariri chanzo]Dkt. Oscar Kikoyo ni mwanachama wa Chama cha Mapinduzi kupitia mkoa wa Kagera , jimbo la Muleba Kusini.
Mwaka 2020, kama mwana chama cha CCM mwenye haki zote za kugombea na kupigiwa kura halali aliamua kuwania kiti cha ubunge jimbo lake la Muleba Kusini kupitia chama chake cha CCM baada ya Professa. Anna Tibaijuka kutangaza kuachia kiti cha ubunge jimbo hilo la Muleba Kusini na Dkt. Kikoyo kushinda kwa ushindi wa kura zaidi ya asilimia sitini na tano mwaka huo wa 2020.
Committees
[hariri | hariri chanzo]# | Duration | Position | Name |
---|---|---|---|
1 | 2021 - 2023 | Member | Public Investments Committee |
2 | 2021 - 2023 | Member | Standing Orders Committee |
References
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa January 2020