Mtumiaji:CRICTIANO RONALDO

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

NI mchezaji mkubwa anachezea timu kubwa ya dunia,na ni mchezaji aliyechukua mchezaji bora wa dunia mara 4 mchezaji huyu maarufu duniani ameshachezea kilabu kubwa sana duniani ikiwemo sporting cp, manchester united, na sasa anaichezea kilabu bingwa ya ulaya real madrid ya hispain pia ni mwanamichezo mwenye ela duniani.