Mtumiaji:Boybizz
Mandhari
Victorino ni msanii wa kizazi kipya maarufu kama bongoflava kutoka Tanzania, Afrika mashariki. Alizaliwa mnamo mwaka 1996 mwezi wa nane huko Bunda, Mara.[1]
Alianza rasmi safari yake ya mziki mwaka 2022 kwa kuachia vibao vyake kama Doll
na kisha nyingine ambazo zilimtambulisha rasmi katika sanaa ya mziki baada ya kupokelewa vizuri na mashabiki zake.[2]
Victorino anajulikana zaidi kwa utunzi wake wa mashairi mazuri na uwezo wa kunyumbulika zaidi katika aina mbalimbali ya mziki kama vile zouk, afropop, kompa na rnb.
- ↑ TRANSSION: LHX. "VICTORINO Songs MP3 Download, New Songs & Albums | Boomplay". Boomplay Music - WebPlayer (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-08-21.
- ↑ "VICTORINO". YouTube. Iliwekwa mnamo 2024-08-21.
- ↑ "VICTORINO". Music In Africa (kwa Kiingereza). 2024-04-25. Iliwekwa mnamo 2024-08-21.