Mtumiaji:Blancos khim
Mandhari
Karibu katika ukurasa wangu
Mimi ni mkenya kwa kuzaliwa. Naamini kwamba ni haki ya kila mtu kuwa na uhuru wa kupata, kuendeleza, kuandika na pia kurekebisha habari mahali popote; iwe kwenye mtandao ama vitabu, n.k.