Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Benix Mby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Salaam. Karibu katika ukurasa wangu!

Benix Mby katika Warsha ya Ujuzi wa Dijitali kwa Vijana katika Biashara ya Kijani, iliyofanyika Buni Innovation Hub, Dar es Salaam (10 Februari 2021)

Jina langu ni Bernard Mwakililo, humu hujiita "Benix Mby". Mimi ni mtumiaji wa Wikipedia na zaidi ni mhariri na mchangiaji wa makala za Kiswahili katika Wikipedia ya kiswahili kutoka nchini Tanzania. Najihusisha na masuala ya teknolojia na mauzo dijitali.

Userbox
sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
en-3 This user is able to contribute with an advanced level of English.
Mtumiaji huyu Anatokea Tanzania.
Mtumiaji huyu anatumia muda wake mwingi kuhariri Wikipedia.
Wiki-N Mtumiaji huyu ni mhariri wa Kiswahili fasaha katika Wikipedia.