Mtumiaji:Aristarik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mambo vipi? Mimi Naitwa Samwel Lawrence Lyimo,Telecommunications Engineer by proffesional na pia ni blogger.Namiliki blogs na website zenye kuandika makala tofauti tofauti kuhusu dunia ya tehama,nafurahi kushea tafiti na makala zangu kwa lugha ya kingereza ila nitafurahi zaidi nikiziweka kwa kiswahili ambayo ndiyo lugha mama kwa taifa langu.