Mtumiaji:Anthony Severine

  Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

  Kigezo:Boxbox

  sw Mtumiaji huyu ni mwongeaji wa Kiswahili Fasaha.
  KWC Mtumiaji huyu ni mwanafunzi katika Dar es Salaam Institute of Technology.
  KWC Mtumiaji huyu ni mshiriki katika Shindano la Wikipedia ya Kiswahili la 2009.   (Submissions)


  |}


  Naitwa Anthony lakini nafahamika zaidi kama tony, i_tony na tony yayo. Nimefurahishwa sana kuanzashwa kwa hii Kiswahili Wikipedia Challenge . ni nafasi nzuri kwa kila mtu anyependa lugha yake kujivunia na kuitangaza kwa watu wengine wasio kuwa na ufahamu kuhus lugha yetu hii. Natumaini kujiunga kwangu kwenye Kiswahili Wikipedia Challenge kutaleta mchango mkubwa kwenye kukuza lugha yetu sanifu ya Kiswahili.