Mtumiaji:Amosi Nashoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amosi Nashoni nilizaliwa mwaka 1993 September 4.huko Tarime Mara Tanzania,

Elimu Nimesoma shule ya msingi Maburi iliopo kijiji cha Maburi wilayani Serengeti mkoani Mara pia nimesoma Shule ya Secondary Nyambureti,iliopo Kata ya Nyambureti wilaya ya Serengeti Mkoani Mara;

Kabila: Kabila langu ni mix parents yaani ni chotala wa lugha mama ni Mungulimi(Mongoleme) lakini pia Baba yangu ni Mujaruo (Muruo) kwa hivyo mimi ni Mjaruluo japo sifahamu kijaruo kwa maana nimekulia Ngoleme kwa sasa naishi Mwanza,

DINI dini yangu ni Mkristo dhehebu langu ni Seventh-day Adventist Church.

TAARUMA Taaruma yangu ni Mhubili wa Injili.