Mtumiaji:Alex Mbise

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

AlexJoseph Mbise ni mwanaharakati wa maendeleo ya jamii anayeamini katika ushirikishwaji wa jamii katika maendeleo thabiti. Anaamini pia kuwa ili taifa lolote liweze kustawi kiuchumi lazima kuwepo na mfumo imara wa ki taasisi ambao umewekwa kikanuni na kisheria kuongoza dira ya maendeleo kwa taifa.

Alex, ni mchumi na mtaalamu katika masuala ya uchumi na biashara lakini pia ana ujuzi wa masuala ya afya ya jamii.

Mbali na kusoma elimu ya chuo kikuu, amepata fursa ya kuhudhuria mafunzo mbalimbali duniani kama vile Mafunzo ya uongozi jamii yaani Civic Leadership katika chuo kikuu cha Kenyatta nchini kenya chini ya YALI RLC EA, Mafunzo ya uongozi na uwezeshaji yaani Effective mentorship skills kutoka taaisi ya Bellatris ya nchini Uturuki, Mafunzo ya Uongozi wa ki taaisi yaani Organization culture kutoka taasisi ya biashara na uongozi ya CELBMD Africa ya kule chini Cameroon, Mafunzo ya mikakati ya usimamizi wa rasilimali na watu yaani Management strategies for people and resources kutoka MWF ya kule nchini Marekani na Mengine mengi.

Alex ni Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Children Vision Development lenye makao yake makuu jijini Arushs, Shirika ambalo linajihusisha zaidi na kuendeleza vipaji vya watoto pamoja na kuwasaidia watoto wenye mahitaji kiuchumi, kijamii na kisaikolojia ili waweze kutimiza ndoto na kufikia malengo yao.