Mto Platte

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Platte
Ramani ya beseni ya mto Platte, na mto Platte Kaskazini na mto Platte Kusini

Mto Platte ni tawimto mrefu wa mto Missouri nchini Marekani.

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Platte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.