Nenda kwa yaliyomo

Mto Lwajjali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Lwajjali unapatikana nchini Uganda (wilaya ya Mukono, wilaya ya Wakiso, wilaya ya Luweero na wilaya ya Kayunga).

Unamwaga maji yake katika Mto Sezibwa ambao unaingia katika ziwa Kyoga.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]