Nenda kwa yaliyomo

Mto White Kei

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mto Kei Mweupe)

Mto White Kei unapatikana katika jimbo la Rasi ya Mashariki, Afrika Kusini.

Chanzo chake kiko kaskazini mwa Queenstown, kama mto Grootvleispruit na hatimaye kujiunga na mto Swart-Kei, kuunda mto Kei.[1].

Bwawa la Xonxa linapatikana katika mto wa White Kei. Mto huu upo katika usimamizi wa maji wa Mzimvubu na Keiskama.[2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto White Kei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.