Msitu mweusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Msitu Mweusi

Msitu Mweusi ni eneo la milima katika jimbo la Baden-Württemberg la Ujerumani kusini magharibi. Milima yafunikwa na misitu minene hivyo jina la eneo "msitu mweusi".

Safu za Milima Mweusi zaelekea sambamba na bonde la Rhine kuanzia mpaka wa nchi tatu za Uswisi, Ufaransa na Ujerumani kwenda kaskazini kwa kilomita 160.

Mlima mkubwa ni Feldberg mwenye kimo cha mita 1,493m.