Nenda kwa yaliyomo

Mpira wa Miguu Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mpira wa Miguu Tanzania ni mchezo ambao ulianzishwa na shirikisho la soka Tanganyika (TFA) mwaka 1930 na kuhusishwa kwenye shirikisho la mpira duniani (FIFA) mwaka 1968.

Shirikisho la soka Tanganyika (TFA) lilibadilika na kuitwa shirikisho la soka Tanzania (FAT) chini ya mwenyekiti Ali Chambuso mwaka 1971 baada ya mabadiliko ya kikatiba ya mpira yaliotokea na kupelekea katiba mpya ambayo ilianza kufanya kazi mwaka 2005 amabapo ilibadilisha jina taasisi na kuitwa TFF ambapo makau makuu yake yapo Tanzania,Dar es salaam .

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mpira wa Miguu Tanzania kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.