Morénike Giwa Onaiwu
Mandhari
Morénike Giwa Onaiwu ni mtaalamu wa elimu kutoka Marekani, mwandishi, na mtetezi wa masuala ya usonji na VVU (Virusi vya Ukimwi). Pamoja na E. Ashkenazy na Lydia Brown, Onaiwu ni mhariri wa kitabu kiitwacho " All the Weight of Our Dreams", ambacho ni mkusanyiko wa sanaa na maandiko yote kutoka kwa watu wa ngozi ya rangi wenye usonji (Waafrika, Wahindi, Wahispania, Waasia), kilichochapishwa na "Autism Women's Network" mnamo Juni 2017. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rosza, Matthew. "Gender stereotypes have made us horrible at recognizing autism in women and girls", Quartz, 2018-10-12. (en-US)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Morénike Giwa Onaiwu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |