Moni Bilé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moni Bilé (Amezaliwa Agosti 1957) ni mwanamuziki wa Kameruni.[1] Alikuwa mtumbuizaji bora na muuzaji bora wa muziki wa makossa miaka ya 1980.[2] Na albamu yake ya Amour & Espérance ilitambulika kimataifa na kuitangaza aina yake ya muziki.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Colin Larkin, mhariri (1992). The Guinness Encyclopedia of Popular Music (toleo la First). Guinness Publishing. uk. 245. ISBN 0-85112-939-0. 
  2. Hudgens and Trillo, p. 1183
  3. West, p. 19