Mnara wa taa wa St Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mnara wa taa wa St Paul

Mnara wa taa wa St. Paul ni mnara wa taa uliojengwa mnamo mwaka 1901 karibu na Woe nchini Ghana. mnara huu unaumbo la piramidi ambapo theluthi yake ya juu imejengewa kwa kuhifadhi taa.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]