Nenda kwa yaliyomo

Mnara wa taa wa Ras Mkumbi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mnara wa taa wa Ras Mkumbi
Mnara wa taa wa Ras Mkumbi

Mnara wa taa wa Ras Mkumbi ni mnara wa taa unaopatikana kaskazini mwa kisiwa cha Mafia nchini Tanzania.[1]