Mnara wa taa wa Ngome ya William

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mnara wa taa wa Ngome ya William ni mnara wa taa unaopatikana kwenye kilima cha Dawson katikati ya pwani ya zamani ya Cape Coast, nchini Ghana.

Mnara wa Taa huo pia huitwa Cape Coast Castle Light ingawa si sehemu ya Cape Coast Castle. Una umbali wa takribani mita 600 kutokea Cape Coast Castle.[1]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Foghorn Publishing ... Lighthouse Explorer Database ... Cape Coast Castle Light > Lighthouse Digest". Lighthouse Digest. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-07. Iliwekwa mnamo 15 May 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)