Mlima Lupanga
Mandhari
Mlima Lupanga uko mashariki mwa Tanzania katika Mkoa wa Morogoro.
Kilele cha juu kiko mita 2,131 juu ya usawa wa bahari.
Ni kati ya milima ya Uluguru, ambayo ni sehemu ya milima ya Tao la Mashariki.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Lupanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |