Mlima Kinyeti

Mlima Kinyeti ni mlima mrefu kuliko yote ya Sudan Kusini (Afrika).
Urefu wake unafikia mita 3,187 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Merriam-Webster's Geographical Dictionary, Third Edition. Springfield, Massachusetts: Merriam-Webster, Incorporat]]ed, 1997. ISBN 0-87779-546-0.