Mlima Hay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mlima Hay unapatikana kaskazini magharibi mwa jimbo la Amhara, nchini Ethiopia. Uko katika Hifadhi ya kitaifa ya Milima ya Semien, karibu na kilele cha juu cha taifa hilo, Ras Dashen.

Mlima Hay una mwinuko wa mita 4173 juu ya usawa wa bahari.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Elevation per Ethiopian Mapping Authority. 2010 National Statistics (Abstract): climate, Table A.1. Central Statistical Agency website (accessed 18 March 2011)
Flag-map of Ethiopia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Hay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.