Mlima Gada Ale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Gada Ale unapatikana katika ukanda wa Afar, Ethiopia. Ni mlima maarufu zaidi wa volkano kaskazini mwa milima ya Erta Ale.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Gada Ale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.