Mlima Alayta
Jump to navigation
Jump to search
Mlima Alayta ni mlima wa volikano unaopatikana katika ukanda wa Afar nchini Ethiopia. Sehemu ya Afar Triangle, bonde la Afar ambapo ni ukanda wenye volikano hai pembezoni mwa mlima Afdera, volikano ya Afdera. Volikano hii ina eneo la kilomita mraba 2700 kusini magharibi mwa ziwa Afrera.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Alayta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |