Mkoa wa Thừa Thiên Huế
Mandhari
Thừa Thiên - Huế ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Huế. Eneo lake ni 5,053.99 km². Mwaka 2009 wakazi 1,087,420 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Archived 3 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|