Mkoa wa Tây Ninh
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Tay Ninh)
Tây Ninh ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Tây Ninh. Eneo lake ni 4,029.6 km². Mwaka 2009 wakazi 1,066,513 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 19 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|