Mkoa wa Quảng Nam
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Quang Nam)
Quảng Nam ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Tam Kỳ. Eneo lake ni 10,406 km². Mwaka 2009 wakazi 1,422,319 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 15 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|