Mkoa wa Bắc Ninh
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Bac Ninh)
Bắc Ninh ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Bắc Ninh. Eneo lake ni 823 km². Mwaka 2009 wakazi 1,024,472 walihesabiwa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 16 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|