Milwaukee, Wisconsin
Mandhari
| Milwaukee | |
| Bendera |
|
|
Mahali pa Milwaukee katika Marekani |
|
| Majiranukta: 43°03′08″N 87°57′21″W / 43.05222°N 87.95583°W | |
| Nchi | Marekani |
|---|---|
| Jimbo | Wisconsin |
| Wilaya | Milwaukee Waukesha |
| Idadi ya wakazi | |
| - Wakazi kwa ujumla | 602,191 |
| Tovuti: www.city.milwaukee.gov Ilihifadhiwa 20 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine. | |


Milwaukee ni mji mkubwa wa Wisconsin ya kusini, kando ya Ziwa Michigan. Ni mji wa ishirini na tatu kwa ukubwa katika Marekani ukiwa na wakazi 602,191 (pamoja na mitaa ya nje: 1,739,497) kwenye eneo la km² 251. Mji upo m 188 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jina la Milwaukee latoka katika lugha ya Kialgonkian likimaanisha bara sheshe. Mji uliundwa mwaka 1818.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti ya mji la Milwaukee Ilihifadhiwa 20 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milwaukee, Wisconsin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
